Watu wengi hushindwa kuwa huru kutoka katika maisha yao ya zamani, lakini kwa imani iliyo hai kwa Mungu inawezekana kutoelemewa tena na mambo ya zamani
Ukristo wa Utendaji
"Maoni" yako yanatoka wapi - mambo unayoamini na kuhisi kwa nguvu sana? Je, wewe ni sawa kila wakati, na unapaswa kufanya nini unapofikiri kuwa uko sahihi, lakini wengine wana maoni tofauti na wewe?
Ninawezaje kuwa na uhakika kwamba ninatumia talanta zangu kwa Mungu?
Amri ya Mungu ni rahisi na ya wazi kabisa: "Usiwe na mungu mwingine ila mimi." Kutoka 20:3.
Zipi ni sababu na matokeo ya upendo wangu? Nina upendo ambao unafikiri tu kuhusu mimi binafsi au wenye kuleta uzima, upendo usio na ubinafsi?
kutafuta sifa kutoka kwa watu husabaisha usumbufu mwingi, lakini huegemea Zaidi kwa kila mwanadamu. Je nawezaje kuwa huru kutoka hali hii?
Je, kweli unaamini katika wema na nguvu za Mungu? Au unafikiri Mungu ni dhaifu kama wewe?
Jibu rahisi nililowahi kusikia mtu akitoa kwa swali hili lilinigusa sana.
Je, utii una umuhimu gani linapokuja suala la imani yetu?
Kumwamini Mungu ni kuamini kwamba yuko na kwamba Neno Lake ni kweli. Na ikiwa tunaamini hili, linapaswa kuwa na athari kubwa katika maisha yetu ya kila siku ...
Ninavyoweza kububujikwa na shukrani.
Biblia inazungumza kuhusu kuishi mbele za Mungu na si mbele ya watu. Lakini hiyo inamaanisha nini katika maisha ya vitendo?
Vita ya mama mmoja dhidi ya kujilinganisha mwenyewe na wengine.
Nini sababu ya kutokuelewana kote na migogoro?
Unapokua na hofu, unamfanya Mungu awe mdogo na wewe kuonekana mkuu. Kiukweli unamwita Mungu muongo.