Siyo dhambi kujaribiwa kuwa na wivu, lakini ukiiruhusu uishi na ukue, unaweza kuharibu maisha yako.
Ukristo wa Utendaji
Kwa "taarifa" nyingi zinapatikana na kila mtu anajaribu kutuambia kwamba anasema ukweli, inawezekanaje kujua ukweli ni upi?
Je, Ninajuaje ikiwa "mimi ni rafiki wa ulimwengu"
Katika Biblia, Yesu amepewa majina mengi tofauti. Je, umewahi kufikiria kuhusu baadhi ya majina na vyeo hivi yanamaanisha nini kwetu kibinafsi?
Kunaweza kuwa na sababu nyingi sana kwa nini tunajaribiwa kuwa na wasiwasi, lakini tuna nguvu kubwa katika ulimwengu kwa upande wetu!
e, umewahi kuwa na shaka kwamba Mungu anakupenda? Mistari hii ya Biblia inaweza kubadilisha hilo.
Biblia iko wazi sana kuhusu kusamehe wengine. Lakini kwa nini ni muhimu sana, na nitawezaje kuwasamehe?
Ufafanuzi juu ya mada ya kupendeza ambayo mara nyingi hueleweka vibaya.
Jifunze kuhusu kitakachotokea siku ambayo kila mtu lazima aonekane mbele ya Kristo kuhukumiwa.
"Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo." 1 Yohana 4:8.
Kuamini ni zaidi ya kukubali tu kwamba Biblia ni ya kweli.