Mungu huwa haulizi kuhusu ya nyuma, wewe ni nani au nini unaweza fanya. Anachouliza ni ikiwa uko tayari
Ukristo wa Utendaji
kuwa kama mwana wa Mungu hutegemea jambo hili muhimu sana.
Kushiriki katika asili ya kimungu kunamaanisha kwamba asili yangu inakuwa kama asili ya Mungu - kupitia kazi yake ya kuumba ndani yangu!
Kuokolewa kabisa inamaanisha kuwa na uokovu wa ndani zaidi; siyo tu kuokolewa kutokana na matokeo ya dhambi, bali kutoka kwa minyororo ya dhambi.
Tunda la roho ni asili ya kimungu (Upendo, uvumilivu, utu wema, n.k) ambalo huja pale nilipoifia dhambi
Maisha yamejaa chaguzi. Utavuna kile ulichopanda - kwa hivyo, chagua maisha!