Yesu alipojialika kwenye chakula cha jioni kwa Zakayo mtoza ushuru, uliibadilisha maisha ya mtoza ushuru milele.
Ukristo wa Utendaji
Je, umehesabu gharama?
Sasa uko tayari kuanza maisha mapya kabisa!
Je, umewahi kufikiria au kusema maneno haya? Je! unajua Mungu alimwambia Yeremia nini aliposema hivi?
Biblia inatuambia kwamba dhambi zetu zote zinaweza kusamehewa. Lakini hii inawezekana?
Yesu anatuambia kwamba ni lazima tuzaliwe mara ya pili. Tunafanyaje hivyo?
Kuna watu wengi wanaokuja kwa Yesu. Lakini si wengi wao wanakuwa wanafunzi.
Je, huna utulivu na maisha yako yanaonekana kuwa tupu? Je, una wasiwasi na mambo mengi na una maswali mengi?
Biblia inatuambia kwamba ikiwa tunataka kuwa Mkristo, ni lazima tuache maisha yetu wenyewe. Lakini hii ni kweli thamani yake?
Kuna tofauti kubwa kati ya watu wanaojiita wenyewe wakristo. Ni wangapi twaweza sema ni kweli wanamtukuza Mungu katika maisha wanayoishi?
Hatua ya kwanza kuelekea maisha mapya na yenye maana.