Sio siri! Yesu anatufundisha waziwazi katika mfano wa mjane ambaye hakukata tamaa.
Chuki ni neno lenye nguvu. Je, Tunapaswa kumchukia baba na mama yetu, mke na watoto, kaka na dada, na hata sisi wenyewe?
Kushiriki katika asili ya kimungu kunamaanisha kwamba asili yangu inakuwa kama asili ya Mungu - kupitia kazi yake ya kuumba ndani yangu!
Je! Ninahitaji kubadilisha kabisa jinsi nilivyosoma baadhi ya mistari katika Biblia? Je! Nimekuwa nikizisoma vibaya wakati wote huu?
Ni vyema kujitathimini wenyewe kuona kama Yesu bado ni upendo wa kwanza katika maisha yetu.
Wakati wetu hapa duniani na asili ya kibinadamu yenye dhambi, inaweza kuwa kama kusafiri kupitia uwanja wa mabomu. Je! Tunapataje salama kupitia hiyo?
Ni hivi majuzi tu nimefikiria jinsi Pasaka ni muhimu kwa maisha yangu.
"Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo." 1 Yohana 4:8.
Hakuna furaha katika kupima maisha yangu dhidi ya maisha ya mtu mwingine