Je, unashikilia kwa dhati tumaini ambalo umekiri?
Ukristo wa Utendaji
Je, unajua kwamba maneno haya ya kawaida hayapatikani katika Biblia?
Biblia inawezaje kunisaidia katika hali zangu leo?
Kuwaona watu jinsi Mungu anavyowaona, hutusaidia tunapohusika na watu wenye nguvu, wanaotawala.
Orodha ya mambo ambayo siwezi kufanya haina mwisho. Lakini ninaweza kufanya sehemu ndogo iliyo mbele yangu.
Je! Umewahi kufikiria hii unapokuwa katika hali ngumu au ugumu?
Shaka inakufanya usiwe na nguvu.
Wakati mwingine inaweza kuonekana kama kuna msukumo unakuja kutoka kwenye mwelekeo wote.
Kama mama mwenye mambo mengi, nilikuwa nikijaribu kufanya kila kitu
Hii ni hadithi yangu.
Katika kuchanganyikiwa kwangu na hasira yangu juu ya nchi ninayoishi, nilipata ufunuo muhimu: kwa kweli ni jukumu langu kuiombea nchi yangu.
Kulazwa hospitalini na UVIKO-19, aya za Biblia ambazo ziliendelea kumjia akilini mwake ni kitu ambacho Hermeni angeshikilia.
Niligundua kwamba hofu, japo ilikua kweli kwangu, haikutoka kwa Mungu. Na ndipo aliponionesha namna ya kuishinda.
Wakati mwingine "talanta" inaweza kumaanisha kitu tofauti sana na kile unachoweza kufikiria.
Je! Yakobo anawezaje kusema kwamba tunapaswa "kujawa na furaha" katika majaribu yetu? Je! Mateso yanawezaje kuwa ya furaha?
Ingawa Anelle amekuwa akiishi na ugonjwa kwa miaka mingi, yeye ni msichana ambaye amejifunza kuridhika sana.
Wakati mmoja sikuweza kudhibiti wasiwasi wangu na woga, lakini leo mimi ni msichana mdogo mwenye mtazamo mzuri juu ya maisha.
Maisha yangu yalibadilishwa kwa njia nyingi sana - na sio vile ungetarajia.
Kwa nini mara kwa mara unaweza kuwa mwenye shukrani na mwenye furaha, bila kujali hali yako ama unavyojihisi.
Hiki ndicho kilinitoa kwenye shimo hatari la huzuni wakati wa kipindi kigumu sana maishani mwangu.
Nimejifunza kwamba njia ya kuwa na watu wagumu ni kwa kujifunza kudhibiti miitikio yangu mwenyewe.
Ulishawahi kuwa na siku ambapo kila kitu kilionekana kwenda tofauti?
Shetani huja na mawazo ya kuvunja moyo ambayo yatakufanya usipige hatua. Je unahitaji kumsikiliza?
Ukweli wa kushangaza kuhusu jinsi ilivyo vigumu kuwa mwema.
Jinsi nilivyoshinda upweke.
“Njia yangu” ni nini hasa, na “njia yangu” inafaaje katika kumtumikia Mungu?
Inawezekanaje kutokuwa na wasiwasi juu ya kitu chochote katika ulimengu ambao mambo mengi hayana hakika?