Yesu alipojialika kwenye chakula cha jioni kwa Zakayo mtoza ushuru, uliibadilisha maisha ya mtoza ushuru milele.
Ukristo wa Utendaji
Ikiwa ninataka kuishi maisha ya Mkristo, je, ni lazima niache kuwa "mimi"?
Wakati Yesu alipokuwa duniani, watu wengi hawakujua alikuwa nani. Na sasa bado ni sawa.
Yesu alipozaliwa tumaini jipya lilikuja kwa kila mtu ambaye alikuwa amechoka kuwa mtumwa wa dhambi.
: Yesu alisema kuna wachache ambao huipata njia nyembaba. Unajua namna ya kuipata na cha muhimu Zaidi, mamna ya kuipitia.
Je, umefikiria kuhusu Yesu, Mwana pekee wa Mungu, na kile Alichofanya ili tuwe kaka na dada zake?
Je, ungejisikiaje kujua kwamba maisha yako hayana maana?
Wote tuna vitu au watu tuwaowageukia pindi tunapohitaji faraja. Lakini unapata faraja ya kweli na ya kudumu?
Nilipokuwa hata simjui Mungu, Alikuwa akinivuta kwake kwa upole. Sasa namchagua kila siku.
Katika Biblia, Yesu amepewa majina mengi tofauti. Je, umewahi kufikiria kuhusu baadhi ya majina na vyeo hivi yanamaanisha nini kwetu kibinafsi?
Njia ya kwenda Damasko ilikuwa mwanzo tu kwa Paulo.
Chuki ni neno lenye nguvu. Je, Tunapaswa kumchukia baba na mama yetu, mke na watoto, kaka na dada, na hata sisi wenyewe?
Ni vyema kujitathimini wenyewe kuona kama Yesu bado ni upendo wa kwanza katika maisha yetu.
Kuwa mtiifu katika maneno ya Mungu ambayo Yesu alisema kutatupeleka katika maisha kwenye wingi wake katika uzima wa milele. Imeandikwa na Ukristo hai.
Ukweli ni upi? Ina maana gani kwetu na inaathirije na kubadilisha maisha yetu?
Wakati wa Krismasi tunamfikiria Mwokozi wetu. Lakini hilo lamaanisha nini kwetu?
Ni hivi majuzi tu nimefikiria jinsi Pasaka ni muhimu kwa maisha yangu.
Pasaka inamaanisha nini kwangu binafsi.
Je, unamruhusu Yesu kuwa Mchungaji wako au bado unajaribu kutawala maisha yako mwenyewe?
Je, una Kuhani Mkuu ambaye anaelewa udhaifu wako na kukusaidia kushinda?
Unadhani ni aina gani ya maisha mtu ataishi kama yesu ni Bwana na mwalimu wa kweli wakati wote?
Yesu: Mpainia, Mtangulizi
Kuna njia moja tu ya kumjua Yesu kweli.
Je! Kusudi la Mungu kwangu ni nini? Mapenzi ya Mungu ni nini kwenye maisha yangu?
Ninaishi kwa ajili ya nani? Je, ninamtumikia Mungu au watu?
Kila mtu anahitaji marafiki wazuri.
Sisi ni binadamu. Tunatenda dhambi. Je, huo ndio mwisho wa hadithi?