Inaweza kuwa vigumu kuelewa kwamba Mungu anapotuadhibu na kutusahihisha, kwa kweli ni neema Yake.
Ukristo wa Utendaji
Ingawa mara nyingi hisia zangu huonekana kubadilika bila onyo, nimejifunza siri ya kuzidhibiti ili zisinitawale.
“Leo ni siku.” Siku niliyogundua kile ambacho nimekuwa nikikikosa.
Baadhi ya shule zina siku za "Onesha na nena". Nilifikiria jinsi hiyo inatumika pia tunapotaka kushiriki injili na wengine…
Yesu anaweza kutubadilisha kabisa na kutufanya kuwa kiumbe kipya; kitu kilichobarikiwa ambacho hudumu milele!
Mungu huwa haulizi kuhusu ya nyuma, wewe ni nani au nini unaweza fanya. Anachouliza ni ikiwa uko tayari
Inawezekana kuishi maisha ya Yesu tukiwa bado hapa duniani!
Kushiriki katika asili ya kimungu kunamaanisha kwamba asili yangu inakuwa kama asili ya Mungu - kupitia kazi yake ya kuumba ndani yangu!
Ninapotembea katika nuru, maisha yanakuwa mazuri, na daima nina dhamiri njema. Lakini ninatembeaje katika nuru?
Mungu anataka kuwa na roho yetu, na anataka kufanya makao yake ndani yetu tena. Anafanyaje hili?
Ukweli ni upi? Ina maana gani kwetu na inaathirije na kubadilisha maisha yetu?
Tunda la roho ni asili ya kimungu (Upendo, uvumilivu, utu wema, n.k) ambalo huja pale nilipoifia dhambi
Je, inawezekana kuwa na roho ya upole na utulivu wakati una haiba kubwa na yenye nguvu?
Injili inaelezewa kama "njia", kwa sababu "njia" ni kitu unachotembea juu yake. Kwenye "njia" kuna harakati na maendeleo.
Je! Ninaamini kwamba maisha ya Kikristo kama ilivyoelezewa katika Biblia yanawezekana? Ni rahisi sana kuvunjika moyo.
Umesikia juu ya njia ya "sasa"?