Uchungu na kuwa na jambo dhidi ya mtu mwingine huhwaweka watu mbali kati ya mmoja na mwingine – lakini kuna suluhisho.
Ukristo wa Utendaji
Katika kuchanganyikiwa kwangu na hasira yangu juu ya nchi ninayoishi, nilipata ufunuo muhimu: kwa kweli ni jukumu langu kuiombea nchi yangu.
Je! Umewahi kujiuliza inamaanisha nini kwako kutoa mwili wako kama dhabihu hai?
Mwanzoni kujitenga na kuunganishwa kwa njia ya mtandao ilikua kitu kigeni na pia chenye kufurahisha – mpaka nilipogundua kwamba vyanzo vyetu vya mapato vilikua vikipungua kwa mmoja hadi mwingine.
Navyoweza kupata njia ya kufahamu wakati sahihi, maneno sahihi, na matendo sahihi hivyo ninaweza kuwasaidia na kuwabariki wengine.
Je, ningefaulu zaidi ikiwa tu hali zangu zingekuwa tofauti?
Sio siri! Yesu anatufundisha waziwazi katika mfano wa mjane ambaye hakukata tamaa.
kufuatilia masomo haya matatu yatakusaidia kuwa na mahusiano mema, yenye baraka na afya!
Sio sote tunazaliwa na nguvu za kihemko, na hiyo ni sawa. Lakini hapa ndio tunaweza kufanya mawazo na hisia zetu zinapojaribu kutuvuta.
Tangu roho ya imani iingie moyoni mwangu, maoni yangu juu ya maisha yamebadilika kuwa maelezo.
Sote tunajua wivu ni mbaya. Lakini je! Ninaweza kukubali kwamba nina wivu haswa na sio kujilinganisha tu na marafiki zangu?
Nguvu kubwa ya shukrani inaweza kubadilisha hali kabisa.
Wakati tuliposhuhudia ubaya wa ubaguzi dhidi yetu, mtoto wangu wa miaka 5 alijua njia bora ya kuushughulikia.
Kwa nini mara kwa mara unaweza kuwa mwenye shukrani na mwenye furaha, bila kujali hali yako ama unavyojihisi.
Hiki ndicho kilinitoa kwenye shimo hatari la huzuni wakati wa kipindi kigumu sana maishani mwangu.
Biblia hutueleza kuwaombea viongozi wetu na serikali.
Kuwalaumu wengine ni kama hali ya asili ya upumuaji kwa watu wengi.