Ikiwa ninataka kuishi maisha ya Mkristo, je, ni lazima niache kuwa "mimi"?
Ukristo wa Utendaji
Jinsi ya kushinda uwongo na shutuma za Shetani.
Je, ningefaulu zaidi ikiwa tu hali zangu zingekuwa tofauti?
Wanadamu ni wabinafsi sana kwa asili; kila kitu kinatuhusu sisi wenyewe. Lakini hatupaswi kukaa hivyo!
Alta alikasirika kwa urahisi kwa kila mtu na kila jambo na hii ilikuwa ikiharibu maisha yake. Angewezaje kutafuta njia ya kuacha kukasirika?
Yesu aliweza kuona jinsi Nathanaeli alivyokuwa kabla hata ya kuzungumza naye. Ni nini kilikuwa cha pekee sana kwa Nathanaeli?
Lengo sio kuwa na mengi iwezekanavyo ya ulimwengu huu, lakini kuacha kila kitu.
Baadhi ya shule zina siku za "Onesha na nena". Nilifikiria jinsi hiyo inatumika pia tunapotaka kushiriki injili na wengine…
Je, ungejisikiaje kujua kwamba maisha yako hayana maana?
Kuna hukumu ambayo ni msaada, na kuna hukumu yenye ufisadi na yenye kudhuru. Moja ni nyepesi na nyingine ni giza. Soma zaidi hapa!
Lengo la Shetani ni kututenganisha na Mungu. Hivi ndivyo tunavyoweza kumzuia.
Sasa uko tayari kuanza maisha mapya kabisa!
Unaweza kumtoa Shetani na uwongo wake na udanganyifu katika maisha yako mara moja na kwa wote!
Tunavyofikiria na kuwatendea wahitaji, wanyonge na wale ambao ulimwengu huwadharau, inaonesha tunachofikiria juu ya Mungu, Muumba.
Je, Ninajuaje ikiwa "mimi ni rafiki wa ulimwengu"
Navyoweza kupata njia ya kufahamu wakati sahihi, maneno sahihi, na matendo sahihi hivyo ninaweza kuwasaidia na kuwabariki wengine.
Nilikuwa nimezoea kukubaliana na uwongo wake, mpaka Mungu akanionesha ni nini kinachohitajika kubadilika katika maisha yangu.
Jua utajiri wa kweli ni nini na unaweza kuupataje.
Njia nyembamba ni njia iendayo uzimani. Inamaanisha kuacha kila kitu – lakini matokeo yake ni ya kushangaza.
Mungu amenipangia njia ambayo ni bora kwangu tu.
Inashitusha ni mara ngapi watu hufanya hivi bila kufikiria jinsi isivyo kimungu.
Hii Ndio Maana ya Kuwa Mkristo Anayejali Imani Yake.
Hii hakika itakufanya uwe na furaha zaidi!
Shetani anapofanya kazi kati ya watu wa Mungu, yeye hutumia tamaa zao za asili na vitu ambavyo vinawavutia.
Katika Maisha yake yote Yesu alisema,: “Mapenzi yako yatimizwe, si mapenzi yangu!” maneno haya ndiyo ufunguo wa kuwa kitu kimoja na Mungu Pamoja na watu.
Ni nini hutusukuma kufanya kazi nzuri tunazofanya?
Sote tuna sababu njema kuwa wema sisi kwa sisi na kuonesha huruma na uelewa.
Je! Ninahitaji kubadilisha kabisa jinsi nilivyosoma baadhi ya mistari katika Biblia? Je! Nimekuwa nikizisoma vibaya wakati wote huu?
Ninaweza kuishi kwa namna ambayo Mungu anatukuzwa kupitia mimi!
Injili inaelezewa kama "njia", kwa sababu "njia" ni kitu unachotembea juu yake. Kwenye "njia" kuna harakati na maendeleo.
Kuwa Mkristo kunapaswa kuathiri maisha yetu ya kila siku.
Biblia inazungumza kuhusu kujidanganya, na hilo linaweza kutokea kwa urahisi zaidi kuliko unavyofikiri. Lakini pia kuna njia rahisi ya kuepuka.
Yupi utamfuata? Kuwa mkweli mwenyewe. Je, ulijua kuwa jibu lako katika swali hili muhimu linatoa uamzi wa jinsi maisha yako ya milele yatakavyokuwa?
Mtandao, simu mahiri na kila kitu kinachokuja navyo - Mkristo anapaswa kukabiliana vipi na mambo haya yote?
Kugundua jinsi ilivyo vizuri kuwa wazi na mwaminifu kuhusu imani yangu.
Je, isingekuwa bora kuzungumza juu ya wema wote katika watu?
Maisha mema Zaidi ambayo mtu yeyote anaweza kuishi, mahali popote, wakati wowote. Kama kweli unahitaji.
Umesikia juu ya njia ya "sasa"?
Ukristo wa kweli unaonekanaje hasa.
Kuna njia moja ambayo haijawahi kumkatisha tamaa yule anayeichagua. Je! Unafikiria kufuata ndoto yako ndio njia hiyo? Au kuna kitu zaidi?
Mtazamo wako uko wapi maishani
Kuna wakati amri "Usihukumu" haitumiki.
Je, Sisi wanadamu tunawezaje kumfuata Kristo, Mwana wa Mungu?
Je! Mimi ni mtu ambaye wengine wanaweza kumtazama, hata ninapojaribiwa kukasirika au mawazo machafu?
Biblia inatuambia kwamba ikiwa tunataka kuwa Mkristo, ni lazima tuache maisha yetu wenyewe. Lakini hii ni kweli thamani yake?
Uzoefu wake mwenyewe umethibitisha kwamba maisha haya ni ya kweli.
Je, kile unachofanya kama Mkristo siku ya Jumatatu si swali muhimu zaidi?
Je! Kuna njia yoyote ya kutofautisha kati ya Wakristo wa kweli na wale ambao sio?
Kuna tofauti kubwa kati ya watu wanaojiita wenyewe wakristo. Ni wangapi twaweza sema ni kweli wanamtukuza Mungu katika maisha wanayoishi?
Kunaweza kuwa na sababu nyingi za "kufanya jambo sahihi". Sababu yako ni nini?