Je, Ukristo unaweza kumpa nini mtu ambaye anataka kufanya tofauti?
Ukristo wa Utendaji
Je, unashikilia kwa dhati tumaini ambalo umekiri?
Kwenu ninyi mnaopigania sana kuishinda dhambi na bado hamjaipata sawasawa: Itafanikiwa!
Ingawa mara nyingi hisia zangu huonekana kubadilika bila onyo, nimejifunza siri ya kuzidhibiti ili zisinitawale.
kutafuta sifa kutoka kwa watu husabaisha usumbufu mwingi, lakini huegemea Zaidi kwa kila mwanadamu. Je nawezaje kuwa huru kutoka hali hii?
Ninawezaje kuacha kuathiriwa kirahisi sana kufanya kile ninachojua ni kibaya?
Je, umewahi kufikiria au kusema maneno haya? Je! unajua Mungu alimwambia Yeremia nini aliposema hivi?
Chuki ni neno lenye nguvu. Je, Tunapaswa kumchukia baba na mama yetu, mke na watoto, kaka na dada, na hata sisi wenyewe?
e, umewahi kuwa na shaka kwamba Mungu anakupenda? Mistari hii ya Biblia inaweza kubadilisha hilo.
Hatuhitaji kuhisi hatia pindi tunajaporibiwa. Sababu ni hii hapa …
Ni kwa imani katika Mungu kwamba tunakuja kwa siku zijazo ambazo Ametupangia.
Muda mwingine nilitamani kwamba ningeacha tu kujali namna watu wengine walivyokuwa wakifikiria juu yangu.
Ninapofikiria juu ya wito wangu kama Mkristo, nina nia gani kuifikia?
Mungu anakuona wewe ni wa thamani na wa kipekee na wa thamani kubwa. Unajionaje?
Kwa nini unasema au kusema mambo fulani? Je, una wasiwasi kuhusu kile ambacho wengine wanaweza kufikiria? Je, unataka kuwa huru?
Yupi utamfuata? Kuwa mkweli mwenyewe. Je, ulijua kuwa jibu lako katika swali hili muhimu linatoa uamzi wa jinsi maisha yako ya milele yatakavyokuwa?
Mtandao, simu mahiri na kila kitu kinachokuja navyo - Mkristo anapaswa kukabiliana vipi na mambo haya yote?
Je! niko huru kumtumikia Mungu au ninafungwa na mambo ambayo wengine wanaweza kufikiria kunihusu?
Je! Mawazo mabaya machafu ni hatari kiasi gani?
Tunapaswa kushinda nini? Kwa nini ni kibaya sana?
Je, inawezekana kujaribiwa na usijue? Je, inawezekana kutenda dhambi bila kujua? Kujaribiwa inamaanisha nini?
Mimi ni kijana mdogo mara moja tu. Je, ninautumiaje muda huo mfupi maishani mwangu?
Kugundua jinsi ilivyo vizuri kuwa wazi na mwaminifu kuhusu imani yangu.
Tunapokuwa na roho ya imani, Mungu anaweza kutusaidia kushinda mambo ambayo yanaweza kuonekana kuwa hayawezekani kabisa.
Kuna tofauti kubwa. Na ni muhimu sana kujua ni tofauti gani.
Mbinafsi au msaidizi?
Ni muhimu kuelewa kwamba kutenda dhambi na kujaribiwa kutenda dhambi ni vitu viwili tofauti.
Ushuhuda kuhusu kuishi ili kumpendeza Mungu.
Jinsi mambo rahisi, ya kila siku yalivyokuwa yakivunja uhusiano wangu na Mungu taratibu.
Je! Mimi ni mtu ambaye wengine wanaweza kumtazama, hata ninapojaribiwa kukasirika au mawazo machafu?
Ni rahisi kutuma ujumbe kupitia mitandao ya kijamii. Lakini umefikiria juu ya matokeo?
Unajikuta bado unafanya vitu vibaya, licha ya kuwa hakika unataka kufanya kile ambacho ni kizuri.
Nilipata furaha kujua kwamba Mungu aliniumba jinsi nilivyo.
Ikiwa unataka kumshawishi mtu kuwa Mkristo, maisha ya uaminifu yanazungumza zaidi kuliko maneno.
Hakuna furaha katika kupima maisha yangu dhidi ya maisha ya mtu mwingine
“Muda wako ujao unaonekanaje? Umepanga maisha yako?" Ilibidi nisimame na kufikiria kabla sijajibu.
Mungu alitaka tuwe hai, lakini kwa sababu gani?
“Nilikua na hamu sana kuwa huru kutokana na mawazo machafu lakini jinsi ya kutimiza hili haikua wazi.”
Ninawezaje kuweka maisha yangu ya mawazo safi wakati mawazo haya mengi yanakuja tu bila mimi kuyataka?