Kwa nini unafanya au kusema mambo fulani? Je, una wasiwasi juu ya kile wengine wanaweza kufikiria? Unataka kuwa huru?
Ukristo wa Utendaji
Jinsi mambo rahisi, ya kila siku yalivyokuwa yakivunja uhusiano wangu na Mungu taratibu.
Kila siku ni zawadi ya thamani kutoka kwa Mungu, yenye neema mpya na fursa mpya
Mungu anataka tutafute mapenzi yake katika kila jambo, Pamoja na hali tuliyomo sasa, na katika mambo yote tunayojishughulisha nayo kwa sasa
Soma jinsi baadhi ya vijana wanavyofanya hivi katika maisha yao ya kila siku.
Jinsi gani uso wangu daima "hung’aa" hata kama "sihisi" hivyo?
Siku yenye tija ni nini?
Biblia inawezaje kunisaidia katika hali zangu leo?
Nguvu kubwa ya shukrani inaweza kubadilisha hali kabisa.
Nini kinafanya maisha ya mwanafunzi wa kuwa ya kipekee?
Kama mama mwenye mambo mengi, nilikuwa nikijaribu kufanya kila kitu
Ni kawaida kutaka kujitetea ikiwa tunafikiri tunatendewa vibaya. Lakini je! Hiyo ndiyo njia ambayo Yesu alitufundisha kwenda?
Haijalishi ni kwa kiasi gani tunatofautiana na watu wengine, kuna kitu ambacho ni sawa kwetu sote ...
Njia nyembamba ni njia iendayo uzimani. Inamaanisha kuacha kila kitu – lakini matokeo yake ni ya kushangaza.
Nilijua sikuwa nikiishi jinsi nilivyopaswa kuwa mfuasi, hadi tukio lililobadili maisha lilinilazimisha kumkaribia Mungu.
Sote tunajua kuwa kulaumu wengine kamwe hakuisaidii hali, lakini njia hii ya kujibu iko katika asili yetu tangu mwanzo ...
Kila mtu anataka amani ya ulimwengu, lakini kutengeneza amani huanza na mimi
Muda mwingine nilitamani kwamba ningeacha tu kujali namna watu wengine walivyokuwa wakifikiria juu yangu.
"Maoni" yako yanatoka wapi - mambo unayoamini na kuhisi kwa nguvu sana? Je, wewe ni sawa kila wakati, na unapaswa kufanya nini unapofikiri kuwa uko sahihi, lakini wengine wana maoni tofauti na wewe?
Je! Ninahitaji kubadilisha kabisa jinsi nilivyosoma baadhi ya mistari katika Biblia? Je! Nimekuwa nikizisoma vibaya wakati wote huu?
Ninaweza kuishi kwa namna ambayo Mungu anatukuzwa kupitia mimi!
Kuwa Mkristo kunapaswa kuathiri maisha yetu ya kila siku.
Katika Mithali inasema kwamba mtu mwaminifu ni vigumu kumpata. Je, wewe ni mmoja wa watu hao wachache?
Maisha yangu yalibadilika nilipogundua jinsi ilivyo bora kutoa kuliko kupokea.
Je, umewahi kuhisi kuwa kila kitu ni kinyume na wewe? Ndivyo ninavyohisi leo.
Nimejifunza kwamba njia ya kuwa na watu wagumu ni kwa kujifunza kudhibiti miitikio yangu mwenyewe.
Inaweza kuwa ngumu kupata maana ya maisha wakati kila siku inapita sawa na ile ya hapo awali, hadi uanze kutazama maisha kwa njia mpya kabisa.
Jinsi tishio la bomu lilijaribu imani yangu kwa Mungu.
Katika kazi yangu na wateja, nakutana na watu wa haiba tofauti tofauti.
Mbinafsi au msaidizi?
Kusudi la leo ni nini?
Ninafanya nini na mawazo ambayo hayampendezi Mungu?
Ni muhimu kuelewa kwamba kutenda dhambi na kujaribiwa kutenda dhambi ni vitu viwili tofauti.
Ulishawahi kuwa na siku ambapo kila kitu kilionekana kwenda tofauti?
Ushuhuda kuhusu kuishi ili kumpendeza Mungu.
Ni rahisi kutuma ujumbe kupitia mitandao ya kijamii. Lakini umefikiria juu ya matokeo?
Ukweli wa kushangaza kuhusu jinsi ilivyo vigumu kuwa mwema.
Ni nani au ni nini huamua ikiwa nitakerwa na wale walio karibu nami?
Ukweli nyuma ya njia tunayohitaji kutumikia.
Ninaishi kwa ajili ya nani? Je, ninamtumikia Mungu au watu?
Ikiwa unataka kumshawishi mtu kuwa Mkristo, maisha ya uaminifu yanazungumza zaidi kuliko maneno.
“Njia yangu” ni nini hasa, na “njia yangu” inafaaje katika kumtumikia Mungu?
Je, kile unachofanya kama Mkristo siku ya Jumatatu si swali muhimu zaidi?
Nini sababu ya kutokuelewana kote na migogoro?
Kuwalaumu wengine ni kama hali ya asili ya upumuaji kwa watu wengi.