: Yesu alisema kuna wachache ambao huipata njia nyembaba. Unajua namna ya kuipata na cha muhimu Zaidi, mamna ya kuipitia.
Mungu huwa haulizi kuhusu ya nyuma, wewe ni nani au nini unaweza fanya. Anachouliza ni ikiwa uko tayari
Kupata ushindi dhidi ya hali duni na hali bora, kuhisi wewe ni mbaya au bora kuliko wengine, sio jambo dogo. Lakini, kama kawaida, neno la Mungu linatuonyesha njia.
Kuokolewa kabisa inamaanisha kuwa na uokovu wa ndani zaidi; siyo tu kuokolewa kutokana na matokeo ya dhambi, bali kutoka kwa minyororo ya dhambi.
Je! Umepata nguvu ya kushangaza ambayo huja unapojazwa na Roho?
Yesu alipofufuka kutoka kwa wafu na Roho Mtakatifu akaja, ilitoa matumaini kwa wanafunzi wake wote - pamoja na mimi na wewe! Soma zaidi!
Hadithi ya Mariamu na Elisabeti katika Biblia inaeleza kuhusu urafiki wa ajabu. Ni nini kilichofanya urafiki wao kuwa imara sana?
Kwa nini sala ni muhimu sana kwa mwamini?
Kunaweza kuwa na sababu nyingi sana kwa nini tunajaribiwa kuwa na wasiwasi, lakini tuna nguvu kubwa katika ulimwengu kwa upande wetu!
Hatuhitaji kuhisi hatia pindi tunajaporibiwa. Sababu ni hii hapa …
Kuwa mtiifu katika maneno ya Mungu ambayo Yesu alisema kutatupeleka katika maisha kwenye wingi wake katika uzima wa milele. Imeandikwa na Ukristo hai.
Ingekuwa kawaida kabisa kwa Sarah kutoamini kuwa atakuwa na mtoto wa kiume…hata hivyo, alikuwa na miaka 90.
Dhambi ni nini - dhambi ya asili, matendo ya mwili, dhambi katika mwili (katika asili yetu ya kibinadamu). Kuna tofauti gani kati ya kuwa na dhambi (kuwa na asili ya dhambi) na kutenda dhambi?
Biblia iko wazi sana kuhusu kusamehe wengine. Lakini kwa nini ni muhimu sana, na nitawezaje kuwasamehe?
Biblia inasema nini kuhusu pesa?
Naweza kuhisi kama nakuwa mchafu nijaribiwapo. Lakini je, nimitenda dhambi?
Tunapaswa kushinda nini? Kwa nini ni kibaya sana?
Je, inawezekana kujaribiwa na usijue? Je, inawezekana kutenda dhambi bila kujua? Kujaribiwa inamaanisha nini?
Biblia inamaanisha nini inaposema kwamba tunapaswa kuwa "zaidi ya washindi?" Inazungumza juu ya nani wakati imeandikwa "kwake yeye ashindaye?"
Yesu: Mpainia, Mtangulizi
Tunadanganywa kwa urahisi na maneno ya kijanja na sura nzuri na kuongozwa mbali na ukweli wa injili, badala ya kuangalia roho iliyo kwenye mtazamo wa nje.
Esta alikuwa "shujaa wa maombi", mwanamke aliyemcha Mungu na uhusiano wa kibinafsi na Yesu.
Ufafanuzi juu ya mada ya kupendeza ambayo mara nyingi hueleweka vibaya.
Jifunze kuhusu kitakachotokea siku ambayo kila mtu lazima aonekane mbele ya Kristo kuhukumiwa.
Ahadi kuu ambayo Mungu ametupa ni kwamba tunaweza kubadilishwa kabisa!
Njia muhimu ya kuwa mwinjilisti mwema.
“Nilikua na hamu sana kuwa huru kutokana na mawazo machafu lakini jinsi ya kutimiza hili haikua wazi.”
Umewahi kuhisi wakati mwingine kwamba Mungu huwa hakusikilizi? Kwa nini Mungu hataki kujibu maombi yako?
Inawezekanaje kutokuwa na wasiwasi juu ya kitu chochote katika ulimengu ambao mambo mengi hayana hakika?
Ninawezaje kutembea kwa roho?