kufanya jambo jema, lazima nijiweke huru kutoka katika uovu.
Ukristo wa Utendaji
Rolf: Watu wengine hukasirika haraka. Mimi ni mmoja wao.
Siyo dhambi kujaribiwa kuwa na wivu, lakini ukiiruhusu uishi na ukue, unaweza kuharibu maisha yako.
Alta alikasirika kwa urahisi kwa kila mtu na kila jambo na hii ilikuwa ikiharibu maisha yake. Angewezaje kutafuta njia ya kuacha kukasirika?
Kama wakristo tuna wito mkuu na mtakatifu sana, na wala kwa namna yoyote hautegemei elimu yetu wala historia ya maisha yetu wala rangi yetu.
Ni kawaida kutaka kujitetea ikiwa tunafikiri tunatendewa vibaya. Lakini je! Hiyo ndiyo njia ambayo Yesu alitufundisha kwenda?
Kuwa na furaha na wale wanaofurahi ni rahisi kusema kuliko kufanya. Lakini ikiwa naweza kujifunza jinsi ya kufanya hivyo – hebu fikiria jinsi nitakuwa na furaha zaidi!
Mungu ana njia ya kututoa kwa kila jaribu. Lakini haijaandikwa kwamba jaribu linaondoka
Hatuhitaji kuhisi hatia pindi tunajaporibiwa. Sababu ni hii hapa …
Je! Yakobo anawezaje kusema kwamba tunapaswa "kujawa na furaha" katika majaribu yetu? Je! Mateso yanawezaje kuwa ya furaha?
Shetani anapofanya kazi kati ya watu wa Mungu, yeye hutumia tamaa zao za asili na vitu ambavyo vinawavutia.
Dhambi nyingi zimeunganishwa moja kwa moja na mambo haya makuu matatu.
Ninapofikiria juu ya wito wangu kama Mkristo, nina nia gani kuifikia?
Wakati wetu hapa duniani na asili ya kibinadamu yenye dhambi, inaweza kuwa kama kusafiri kupitia uwanja wa mabomu. Je! Tunapataje salama kupitia hiyo?
Ni kwa ubaya kiasi gani unataka kushinda tamaa za dhambi? Una nia ya kukimbia kutoka kwenye dhambi hizi hadi utakapopata kile unachokihitaji kweli – ushindi dhidi yake?
Njia ya maisha yangu imeundwa na chaguzi za kila siku ninazofanya.
Je! Mawazo mabaya machafu ni hatari kiasi gani?
Naweza kuhisi kama nakuwa mchafu nijaribiwapo. Lakini je, nimitenda dhambi?
Tunapaswa kushinda nini? Kwa nini ni kibaya sana?
Je, inawezekana kujaribiwa na usijue? Je, inawezekana kutenda dhambi bila kujua? Kujaribiwa inamaanisha nini?
Biblia inamaanisha nini inaposema kwamba tunapaswa kuwa "zaidi ya washindi?" Inazungumza juu ya nani wakati imeandikwa "kwake yeye ashindaye?"
Paulo anatuambia katika 1 Timotheo 6:11-14 kwamba kuwa na Imani inamaanisha tunahitajika kufanya kitu. Lakini hii inamaanisha nini haswa?
Ninafanya nini na mawazo ambayo hayampendezi Mungu?
Nilikuwa nimesahau kitu muhimu sana na cha lazima - tuzo yangu kubwa.
Unajikuta bado unafanya vitu vibaya, licha ya kuwa hakika unataka kufanya kile ambacho ni kizuri.
Kwa msaada wa injili inawezekana kuwa huru kabisa kutoka kwenye maudhui ya ngono
“Nilikua na hamu sana kuwa huru kutokana na mawazo machafu lakini jinsi ya kutimiza hili haikua wazi.”
Kuna vita tunahitajika kupigana, vita dhidi ya dhambi – ambayo ni mzizi wa mateso yote.
Ninawezaje kuweka maisha yangu ya mawazo safi wakati mawazo haya mengi yanakuja tu bila mimi kuyataka?
Jaribu ni mtihani wa imani yangu.Maisha haya ni ya kufurahisha sana.