Biblia Inazungumzia Kushinda Dhambi. Watu wengi huja kwa Yesu kwa ajili ya msamaha wa dhambi zao - lakini vipi kuhusu kushinda dhambi hizi?
Ukristo wa Utendaji
Jinsi ya kushinda uwongo na shutuma za Shetani.
Mungu ametuita kuishi maisha ya ushindi na hivi ndivyo tunavyoweza kutawala dhambi!
Jambo la kawaida kwa wanadamu ni kujitoa katika dhambi. Kwa hivyo tunawezaje kupigana vita dhidi ya dhambi na kushinda?
Wanadamu ni wabinafsi sana kwa asili; kila kitu kinatuhusu sisi wenyewe. Lakini hatupaswi kukaa hivyo!
Nini kinafanya maisha ya mwanafunzi wa kuwa ya kipekee?
Kwenu ninyi mnaopigania sana kuishinda dhambi na bado hamjaipata sawasawa: Itafanikiwa!
kufanya jambo jema, lazima nijiweke huru kutoka katika uovu.
Rolf: Watu wengine hukasirika haraka. Mimi ni mmoja wao.
Siyo dhambi kujaribiwa kuwa na wivu, lakini ukiiruhusu uishi na ukue, unaweza kuharibu maisha yako.
Alta alikasirika kwa urahisi kwa kila mtu na kila jambo na hii ilikuwa ikiharibu maisha yake. Angewezaje kutafuta njia ya kuacha kukasirika?
Sisi sote tuna tamaa za dhambi katika asili yetu zinazojaribu kutuhadaa tufanye maovu. Je, tunawezaje kuokolewa kutokana na haya?
Kama wakristo tuna wito mkuu na mtakatifu sana, na wala kwa namna yoyote hautegemei elimu yetu wala historia ya maisha yetu wala rangi yetu.
Ni kawaida kutaka kujitetea ikiwa tunafikiri tunatendewa vibaya. Lakini je! Hiyo ndiyo njia ambayo Yesu alitufundisha kwenda?
Kuwa na furaha na wale wanaofurahi ni rahisi kusema kuliko kufanya. Lakini ikiwa naweza kujifunza jinsi ya kufanya hivyo – hebu fikiria jinsi nitakuwa na furaha zaidi!
Kupigana na dhambi" kunaweza kuonekana kama jambo gumu kufanya, lakini hatuhitaji kufanya hivyo peke yetu!
Hii hakika itakufanya uwe na furaha zaidi!
Hatuhitaji kuhisi hatia pindi tunajaporibiwa. Sababu ni hii hapa …
Je! Yakobo anawezaje kusema kwamba tunapaswa "kujawa na furaha" katika majaribu yetu? Je! Mateso yanawezaje kuwa ya furaha?
Shetani anapofanya kazi kati ya watu wa Mungu, yeye hutumia tamaa zao za asili na vitu ambavyo vinawavutia.
Neno la Mungu ndilo suluhisho la uponyaji na kuunda kitu kipya.
wote tunajaribiwa kutenda dhambi, lakini kama tunataka kushinda dhambi, tunahitaji kuchukua hatua!
Dhambi nyingi zimeunganishwa moja kwa moja na mambo haya makuu matatu.
Ninapofikiria juu ya wito wangu kama Mkristo, nina nia gani kuifikia?
Wakati wetu hapa duniani na asili ya kibinadamu yenye dhambi, inaweza kuwa kama kusafiri kupitia uwanja wa mabomu. Je! Tunapataje salama kupitia hiyo?
Si jambo baya kujua udhaifu wako linapokuja suala la dhambi. Hapana, hata kidogo! Lakini unajua unaweza kupata nguvu kutoka wapi?
Ni kwa ubaya kiasi gani unataka kushinda tamaa za dhambi? Una nia ya kukimbia kutoka kwenye dhambi hizi hadi utakapopata kile unachokihitaji kweli – ushindi dhidi yake?
Hapa kuna mistari michache kuhusu ahadi tukufu ya Mungu kwetu: tunaweza kushinda dhambi!
Njia ya maisha yangu imeundwa na chaguzi za kila siku ninazofanya.
Je! Unajua thawabu yako ni nini?
Je! Mawazo mabaya machafu ni hatari kiasi gani?
Naweza kuhisi kama nakuwa mchafu nijaribiwapo. Lakini je, nimitenda dhambi?
Tunapaswa kushinda nini? Kwa nini ni kibaya sana?
Je, inawezekana kujaribiwa na usijue? Je, inawezekana kutenda dhambi bila kujua? Kujaribiwa inamaanisha nini?
Biblia inamaanisha nini inaposema kwamba tunapaswa kuwa "zaidi ya washindi?" Inazungumza juu ya nani wakati imeandikwa "kwake yeye ashindaye?"
Je, unafanya jambo kwa bidii ili kuacha dhambi?
Paulo anatuambia katika 1 Timotheo 6:11-14 kwamba kuwa na Imani inamaanisha tunahitajika kufanya kitu. Lakini hii inamaanisha nini haswa?
Shule! Vijana wengi hawapendi hata kusikia maneno hayo!
Kuna tofauti kubwa. Na ni muhimu sana kujua ni tofauti gani.
Ninafanya nini na mawazo ambayo hayampendezi Mungu?
Ninapoona jinsi miitikio yangu hasi "ya kawaida" haijawahi kufanya chochote bora, nataka kufanya mambo kwa njia tofauti.
Ni muhimu kuelewa kwamba kutenda dhambi na kujaribiwa kutenda dhambi ni vitu viwili tofauti.
Ahadi kuu ambayo Mungu ametupa ni kwamba tunaweza kubadilishwa kabisa!
Je, ninazitumiaje fursa hizi?
Ni nani au ni nini huamua ikiwa nitakerwa na wale walio karibu nami?
Nilikuwa nimesahau kitu muhimu sana na cha lazima - tuzo yangu kubwa.
Unajikuta bado unafanya vitu vibaya, licha ya kuwa hakika unataka kufanya kile ambacho ni kizuri.
Je, ninawezaje kuwa na furaha na wale walio na furaha, hata kama sijisikii hivyo?
Inaweza kuwa vigumu kwa wengi kuamini, lakini inawezekana kabisa kuwa huru kutoka katika dhambi.
Fedora anasimulia jinsi alivyoachana kabisa na hasira yake mbaya.
Je, Yesu alimaanisha alichosema kweli?
Kwa msaada wa injili inawezekana kuwa huru kabisa kutoka kwenye maudhui ya ngono
"Hata iwe unaishi wapi au wewe ni nani, unaweza kuwa na furaha kabisa."
“Nilikua na hamu sana kuwa huru kutokana na mawazo machafu lakini jinsi ya kutimiza hili haikua wazi.”
Kuna vita tunahitajika kupigana, vita dhidi ya dhambi – ambayo ni mzizi wa mateso yote.
Uzoefu wake mwenyewe umethibitisha kwamba maisha haya ni ya kweli.
Ninawezaje kuweka maisha yangu ya mawazo safi wakati mawazo haya mengi yanakuja tu bila mimi kuyataka?
Jaribu ni mtihani wa imani yangu.Maisha haya ni ya kufurahisha sana.
Roho Mtakatifu ni nani? Kwa nini ninamhitaji?