Ninawezaje kuacha kuathiriwa kirahisi sana kufanya kile ninachojua ni kibaya?
Ukristo wa Utendaji
Mambo yote hutokea kwa ajili ya mema kwangu” lakini je, ninalifanyiaje mazoezi katika maisha yangu ya kila siku, kama napojaribiwa kuwa na wivu?
Rolf: Watu wengine hukasirika haraka. Mimi ni mmoja wao.
Uchungu na kuwa na jambo dhidi ya mtu mwingine huhwaweka watu mbali kati ya mmoja na mwingine – lakini kuna suluhisho.
Kupata ushindi dhidi ya hali duni na hali bora, kuhisi wewe ni mbaya au bora kuliko wengine, sio jambo dogo. Lakini, kama kawaida, neno la Mungu linatuonyesha njia.
Tuhuma mbaya ni tofauti kabisa na mfano ulioachwa na Kristo, na hutokana na ukosefu wa upendo. Lakini kuna njia ya kutoka kwenye mawazo haya mabaya!
Tunavyofikiria na kuwatendea wahitaji, wanyonge na wale ambao ulimwengu huwadharau, inaonesha tunachofikiria juu ya Mungu, Muumba.
Navyoweza kupata njia ya kufahamu wakati sahihi, maneno sahihi, na matendo sahihi hivyo ninaweza kuwasaidia na kuwabariki wengine.
kufuatilia masomo haya matatu yatakusaidia kuwa na mahusiano mema, yenye baraka na afya!
Inashitusha ni mara ngapi watu hufanya hivi bila kufikiria jinsi isivyo kimungu.
Sio sote tunazaliwa na nguvu za kihemko, na hiyo ni sawa. Lakini hapa ndio tunaweza kufanya mawazo na hisia zetu zinapojaribu kutuvuta.
Zipi ni sababu na matokeo ya upendo wangu? Nina upendo ambao unafikiri tu kuhusu mimi binafsi au wenye kuleta uzima, upendo usio na ubinafsi?
Sote tunajua wivu ni mbaya. Lakini je! Ninaweza kukubali kwamba nina wivu haswa na sio kujilinganisha tu na marafiki zangu?
Biblia iko wazi sana kuhusu kusamehe wengine. Lakini kwa nini ni muhimu sana, na nitawezaje kuwasamehe?
Linda alipata uhuru wa kweli alipogundua kwamba kulikuwa na mmoja tu aliyepaswa kumpendeza.
Utu wema na upole ni matunda ya Roho. Biblia imejaa watu ambao walikuwa na matunda haya katika maisha yao, na ni mifano kwa sisi kufuata!
Nguvu kubwa ya shukrani inaweza kubadilisha hali kabisa.
Sote tuna sababu njema kuwa wema sisi kwa sisi na kuonesha huruma na uelewa.
Je! niko huru kumtumikia Mungu au ninafungwa na mambo ambayo wengine wanaweza kufikiria kunihusu?
Maneno yana nguvu. Yanaweza kujenga na kubomoa
Inaweza kuwa vigumu kutosha kusamehe mtu ambaye anajuta…
Kuna wakati amri "Usihukumu" haitumiki.
Je! Mimi ni mtu ambaye wengine wanaweza kumtazama, hata ninapojaribiwa kukasirika au mawazo machafu?
Njia muhimu ya kuwa mwinjilisti mwema.
Ni rahisi kutuma ujumbe kupitia mitandao ya kijamii. Lakini umefikiria juu ya matokeo?
"Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo." 1 Yohana 4:8.
Yesu anawezaje kutulazimisha kuwapenda watu? Unaweza kufanya mwenyewe upendwe na mtu mwingine?
Hakuna furaha katika kupima maisha yangu dhidi ya maisha ya mtu mwingine
Sisi ni binadamu. Tunatenda dhambi. Je, huo ndio mwisho wa hadithi?
Kuwalaumu wengine ni kama hali ya asili ya upumuaji kwa watu wengi.