Orodha ya mambo ambayo siwezi kufanya haina mwisho. Lakini ninaweza kufanya sehemu ndogo iliyo mbele yangu.
Ukristo wa Utendaji
Shaka inakufanya usiwe na nguvu.
Wakati mwingine inaweza kuonekana kama kuna msukumo unakuja kutoka kwenye mwelekeo wote.
Kifo ni siri kubwa. Lakini kama mkiristo nina ahadi ya thamani kwa hali yangu ya baadaye.
Mambo yote hutokea kwa ajili ya mema kwangu” lakini je, ninalifanyiaje mazoezi katika maisha yangu ya kila siku, kama napojaribiwa kuwa na wivu?
Rolf: Watu wengine hukasirika haraka. Mimi ni mmoja wao.
Alta alikasirika kwa urahisi kwa kila mtu na kila jambo na hii ilikuwa ikiharibu maisha yake. Angewezaje kutafuta njia ya kuacha kukasirika?
Hii ni hadithi yangu.
“Leo ni siku.” Siku niliyogundua kile ambacho nimekuwa nikikikosa.
Kulazwa hospitalini na UVIKO-19, aya za Biblia ambazo ziliendelea kumjia akilini mwake ni kitu ambacho Hermeni angeshikilia.
Niligundua kwamba hofu, japo ilikua kweli kwangu, haikutoka kwa Mungu. Na ndipo aliponionesha namna ya kuishinda.
Nilipokuwa hata simjui Mungu, Alikuwa akinivuta kwake kwa upole. Sasa namchagua kila siku.
Mungu huwa haulizi kuhusu ya nyuma, wewe ni nani au nini unaweza fanya. Anachouliza ni ikiwa uko tayari
Nilikuwa nimezoea kukubaliana na uwongo wake, mpaka Mungu akanionesha ni nini kinachohitajika kubadilika katika maisha yangu.
Kuwa na furaha na wale wanaofurahi ni rahisi kusema kuliko kufanya. Lakini ikiwa naweza kujifunza jinsi ya kufanya hivyo – hebu fikiria jinsi nitakuwa na furaha zaidi!
Imani sahili katika Mungu huleta matokeo.
Nilitakiwa kupigana vita ili kuishinda hali yangu ya uduni, hisia kwamba sikuwa na thamani na sikuwa muhimu kuliko wengine, na kuwa na Imani katika upendo wa Mungu kwangu binafsi.
Linda alipata uhuru wa kweli alipogundua kwamba kulikuwa na mmoja tu aliyepaswa kumpendeza.
Wakati mmoja sikuweza kudhibiti wasiwasi wangu na woga, lakini leo mimi ni msichana mdogo mwenye mtazamo mzuri juu ya maisha.
Maisha yangu yalibadilishwa kwa njia nyingi sana - na sio vile ungetarajia.
Wakati Julia alipoona jinsi alivyojaa kiburi na majivuno, alijua kuwa kuna kitu angeweza kufanya juu yake.
Nilipokuwa mdogo, niligundua kuwa kuna kitu kilikosekana katika maisha yangu; Sikujua ni nini. Kisha nikasoma maneno ya Yesu.
Maisha yangu yalibadilika nilipogundua jinsi ilivyo bora kutoa kuliko kupokea.
Hadithi ya mama kuhusu kile alichokiona alipoachana na ndoto yake ya “maisha kamili".
Je, Ninaweza "kuingia mbinguni" ikiwa siingii tayari katika roho ile ile inayotawala mbinguni nikiwa hapa duniani?
Ni hivi majuzi tu nimefikiria jinsi Pasaka ni muhimu kwa maisha yangu.
Pasaka inamaanisha nini kwangu binafsi.
Inaweza kuwa ngumu kupata maana ya maisha wakati kila siku inapita sawa na ile ya hapo awali, hadi uanze kutazama maisha kwa njia mpya kabisa.
Ulishawahi kuwa na siku ambapo kila kitu kilionekana kwenda tofauti?
Vita ya mama mmoja dhidi ya kujilinganisha mwenyewe na wengine.
Nilikuwa nimesahau kitu muhimu sana na cha lazima - tuzo yangu kubwa.
Yesu anawezaje kutulazimisha kuwapenda watu? Unaweza kufanya mwenyewe upendwe na mtu mwingine?
Hakuna furaha katika kupima maisha yangu dhidi ya maisha ya mtu mwingine