Ninawezaje kuacha kuathiriwa kirahisi sana kufanya kile ninachojua ni kibaya?
Ukristo wa Utendaji
Je! Umewahi kufikiria hii unapokuwa katika hali ngumu au ugumu?
: Yesu alisema kuna wachache ambao huipata njia nyembaba. Unajua namna ya kuipata na cha muhimu Zaidi, mamna ya kuipitia.
kutafuta sifa kutoka kwa watu husabaisha usumbufu mwingi, lakini huegemea Zaidi kwa kila mwanadamu. Je nawezaje kuwa huru kutoka hali hii?
karibia wakristo wote hutafuta kilicho kikuu, na hutaka Watoto wao wawe wakuu ulimwenguni. Lakini hiki sicho Mungu anachotaka kwa ajili yetu!
kufanya jambo jema, lazima nijiweke huru kutoka katika uovu.
Pengine hiki ni moja kati ya vifungu vya biblia vinavyojulikana katika muunganiko na pentekoste, lakini lengo la nguvu hii ni nini?
Je, umefikiria kuhusu Yesu, Mwana pekee wa Mungu, na kile Alichofanya ili tuwe kaka na dada zake?
Watu wanapsawa kuona neno la Mungu kwenye maisha yetu.
Kama wakristo tuna wito mkuu na mtakatifu sana, na wala kwa namna yoyote hautegemei elimu yetu wala historia ya maisha yetu wala rangi yetu.
Tuhuma mbaya ni tofauti kabisa na mfano ulioachwa na Kristo, na hutokana na ukosefu wa upendo. Lakini kuna njia ya kutoka kwenye mawazo haya mabaya!
Yesu aliielezea kama njaa na kiu ya haki.
Tunavyofikiria na kuwatendea wahitaji, wanyonge na wale ambao ulimwengu huwadharau, inaonesha tunachofikiria juu ya Mungu, Muumba.
Je, Unaamini miujiza? Muujiza unaonekanaje kwako?
Yesu hayupo hapa duniani kwa kibinafsi, kwa hivyo ninawezaje kuwa mwanafunzi Wake? Ninawezaje kumfuata na kuishi karibu naye?
Ni kawaida kutaka kujitetea ikiwa tunafikiri tunatendewa vibaya. Lakini je! Hiyo ndiyo njia ambayo Yesu alitufundisha kwenda?
Kiburi ni dhambi inayoathiri kila mtu.
kuwa kama mwana wa Mungu hutegemea jambo hili muhimu sana.
Ujumbe wa matumaini kwa mtu yeyote ambaye anahisi kama hafai vya kutosha.
Je! Umepata nguvu ya kushangaza ambayo huja unapojazwa na Roho?
Mungu ana njia ya kututoa kwa kila jaribu. Lakini haijaandikwa kwamba jaribu linaondoka
Yesu alipofufuka kutoka kwa wafu na Roho Mtakatifu akaja, ilitoa matumaini kwa wanafunzi wake wote - pamoja na mimi na wewe! Soma zaidi!
Lengo la mwisho katika maisha haya ni kupumzika na amani katika hali zote, katika kila aina ya shida. Je! Tunapataje amani ya aina hii?
Njia nyembamba ni njia iendayo uzimani. Inamaanisha kuacha kila kitu – lakini matokeo yake ni ya kushangaza.
Inashitusha ni mara ngapi watu hufanya hivi bila kufikiria jinsi isivyo kimungu.
Zipi ni sababu na matokeo ya upendo wangu? Nina upendo ambao unafikiri tu kuhusu mimi binafsi au wenye kuleta uzima, upendo usio na ubinafsi?
Kwa nini sala ni muhimu sana kwa mwamini?
Kunaweza kuwa na sababu nyingi sana kwa nini tunajaribiwa kuwa na wasiwasi, lakini tuna nguvu kubwa katika ulimwengu kwa upande wetu!
Sisi ni watu waliochaguliwa na Mungu, ametuchagua kabla ya kuumba ulimwengu. Unaiamini? Unaiishi?
Mungu amempa kila mtu nafsi na roho. Je! kuna tofauti gani gani ya vitu hivi viwili?
Hatuhitaji kuhisi hatia pindi tunajaporibiwa. Sababu ni hii hapa …
Je! Yakobo anawezaje kusema kwamba tunapaswa "kujawa na furaha" katika majaribu yetu? Je! Mateso yanawezaje kuwa ya furaha?
Ni vyema kujitathimini wenyewe kuona kama Yesu bado ni upendo wa kwanza katika maisha yetu.
Kuwa mtiifu katika maneno ya Mungu ambayo Yesu alisema kutatupeleka katika maisha kwenye wingi wake katika uzima wa milele. Imeandikwa na Ukristo hai.
Ni kwa imani katika Mungu kwamba tunakuja kwa siku zijazo ambazo Ametupangia.
Ni vigumu sana kueleza imani ni nini kwa maneno machache tu, lakini kuna mambo machache muhimu ambayo yanaweza kutusaidia kuielewa vizuri.
Ingekuwa kawaida kabisa kwa Sarah kutoamini kuwa atakuwa na mtoto wa kiume…hata hivyo, alikuwa na miaka 90.
Shetani anapofanya kazi kati ya watu wa Mungu, yeye hutumia tamaa zao za asili na vitu ambavyo vinawavutia.
Wanaume watatu walisulubiwa Kalivari, lakini siku iliisha kwa matokeo matatu tofauti. Mfano wako ni nani?
Biblia iko wazi sana kuhusu kusamehe wengine. Lakini kwa nini ni muhimu sana, na nitawezaje kuwasamehe?
“Je! Kuna yeyote kati yenu kwa kuwa na wasiwasi anaweza kuongeza saa moja katika maisha yake?” Mathayo 6:27
Utu wema na upole ni matunda ya Roho. Biblia imejaa watu ambao walikuwa na matunda haya katika maisha yao, na ni mifano kwa sisi kufuata!
Sote tuna sababu njema kuwa wema sisi kwa sisi na kuonesha huruma na uelewa.
Maisha yamejaa chaguzi. Utavuna kile ulichopanda - kwa hivyo, chagua maisha!
Dhambi nyingi zimeunganishwa moja kwa moja na mambo haya makuu matatu.
Je! Ninahitaji kubadilisha kabisa jinsi nilivyosoma baadhi ya mistari katika Biblia? Je! Nimekuwa nikizisoma vibaya wakati wote huu?
Ninapofikiria juu ya wito wangu kama Mkristo, nina nia gani kuifikia?
Wakati wetu hapa duniani na asili ya kibinadamu yenye dhambi, inaweza kuwa kama kusafiri kupitia uwanja wa mabomu. Je! Tunapataje salama kupitia hiyo?
Mungu anakuona wewe ni wa thamani na wa kipekee na wa thamani kubwa. Unajionaje?
Yupi utamfuata? Kuwa mkweli mwenyewe. Je, ulijua kuwa jibu lako katika swali hili muhimu linatoa uamzi wa jinsi maisha yako ya milele yatakavyokuwa?
Ni kwa ubaya kiasi gani unataka kushinda tamaa za dhambi? Una nia ya kukimbia kutoka kwenye dhambi hizi hadi utakapopata kile unachokihitaji kweli – ushindi dhidi yake?
Njia ya maisha yangu imeundwa na chaguzi za kila siku ninazofanya.
Je! Unajua jinsi imani katika Mungu inavyobadilisha maisha yako?
Ingekuwa imekwenda tofauti ikiwa mtawala mchanga tajiri angechagua kutoa kila kitu
Je! niko huru kumtumikia Mungu au ninafungwa na mambo ambayo wengine wanaweza kufikiria kunihusu?
Je! Mawazo mabaya machafu ni hatari kiasi gani?
Maneno yana nguvu. Yanaweza kujenga na kubomoa
Tunapaswa kushinda nini? Kwa nini ni kibaya sana?
Je! Ninaamini kwamba maisha ya Kikristo kama ilivyoelezewa katika Biblia yanawezekana? Ni rahisi sana kuvunjika moyo.
Ni kwa namna gani baadae yangu itakuwa chanya Habari zote zikiwa hasi?
Unadhani ni aina gani ya maisha mtu ataishi kama yesu ni Bwana na mwalimu wa kweli wakati wote?
Yesu: Mpainia, Mtangulizi
Tunadanganywa kwa urahisi na maneno ya kijanja na sura nzuri na kuongozwa mbali na ukweli wa injili, badala ya kuangalia roho iliyo kwenye mtazamo wa nje.
Je! Ulijua kwamba katika kila kitu tunachofanya, watu wataona maisha ya Kristo au maisha ya Shetani ndani yetu?
Maisha mema Zaidi ambayo mtu yeyote anaweza kuishi, mahali popote, wakati wowote. Kama kweli unahitaji.
Mawazo yako yanavutiwa na nini siku nzima?
Katika Pentekoste, wanafunzi walibatizwa na Roho Mtakatifu na moto. Bila moto huu hakuwezi kuwa na umoja.
Kuna njia moja ambayo haijawahi kumkatisha tamaa yule anayeichagua. Je! Unafikiria kufuata ndoto yako ndio njia hiyo? Au kuna kitu zaidi?
Kuna wakati amri "Usihukumu" haitumiki.
Je, Sisi wanadamu tunawezaje kumfuata Kristo, Mwana wa Mungu?
Je! Mimi ni mtu ambaye wengine wanaweza kumtazama, hata ninapojaribiwa kukasirika au mawazo machafu?
Njia muhimu ya kuwa mwinjilisti mwema.
Ni rahisi kutuma ujumbe kupitia mitandao ya kijamii. Lakini umefikiria juu ya matokeo?
: Kila siku ni tajiri na zawadi ya thamani kutoka kwa Mungu, na neema mpya na fursa mpya.
Je! Kusudi la Mungu kwangu ni nini? Mapenzi ya Mungu ni nini kwenye maisha yangu?
Watu husherehekea Pasaka kwa njia nyingi tofauti, lakini tunatumai kuwa mimi na wewe pia tutasimama na kufikiria maana halisi ya Pasaka.
Yesu ni nani kwako? Je! Umemkabidhi moyo wako wote na maisha yako kama Bwana na Mwalimu wako - au je, yeye ni "dhabihu ya dhambi" tu kwako?
Sote tunajua kuwa muda wetu hapa duniani ni mfupi. Tutakuwa tumepata nini kwa wakati huo?
Je, unasali kwa njia ambayo Biblia inasema unapaswa kusali?
Kuna vita tunahitajika kupigana, vita dhidi ya dhambi – ambayo ni mzizi wa mateso yote.
Kuna tofauti kubwa kati ya watu wanaojiita wenyewe wakristo. Ni wangapi twaweza sema ni kweli wanamtukuza Mungu katika maisha wanayoishi?
Jaribu ni mtihani wa imani yangu.Maisha haya ni ya kufurahisha sana.
Unapokua na hofu, unamfanya Mungu awe mdogo na wewe kuonekana mkuu. Kiukweli unamwita Mungu muongo.